MISHE-BOY

News | Wanamuziki tajiri 10 zaidi wa Afrika mwaka 2018


Kama kawaida ya gazeti ya Forbes, kila mwaka mwezi wa Mei inatolewa orodha ya wanamuziki tajiri wenye asili ya Afrika na mwka huu 2018 wanamuziki hawo wtambulika.

Wanamuziki wanaingiza pesa kupitia njia nyingi kama Mauzo, Mikataba iliyosainiwa pia umaarufu na uwepo kwenye vyombo vya habari vya kijamii.

Hawa ndio wanamuziki tajiri 10 wa Afrika

10. Oliver Mtukudzi wa Zimbabwe.

9. Jidenna wa Nigeria akiwa na dola milioni 1 ambayo mwka uliyopita alikuwa nafasi ya 6 sasa anajikuta nafasi ya 9 mwaka 2018.

8. Hugh Masekele (dola milioni 1,5) - Afrika Kusini

7. Tinashe Kachingwe (dola milioni 6) - Zimbabwé

6. Sarkodie (dola milioni 7) - Ghana

5. Davido (dola milioni 16) - Nigeria

4. Wizkid (milioni 20 ya dola) -Nigeria

3. Don Jazzy (dola milioni 30) - Nigeria

2. Black Coffee (dola milioni 60) - Afrika Kusini

1. Akon (dola milioni 80) - Senegal

Hakuna maoni