MISHE-BOY

Sport (Video) | Vital'o yadai kuwa kosa hii ni penalti, tazama mwenyewe


Timu ya Vitalo imeipokea timu ya LLB kwenye uwanja wake Ivyizigiro leo Machi 07, 2018 katika mechi ya Ligii Kuu Primus League (0-0), mashabiki wa timu hiyo na kamati nzima la Vital'o walidai kuwa wamenyimwa penalti ambayo ukitazama vizuri mwenyewe utajipa jibu kama ni penalti au kosa la kutenga ila muhamzi haliifumbia macho kosa hiyo ya mshambuliaji wa Vital'o Hakizimana Nuru akichezewa vibali na beki wa LLB , Issa Vidic.

Ebu tazama video hii hapa bila kuambiwa:

Hakuna maoni