MISHE-BOY

Sport | Matokeo yote ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika


Ligi ya Mabingwa (Ligue des Champions/16ems) imeendelea wiki hii uku timu ya Zamalek ikishindwa kufanya vizuri nchini Ethiopia pamoja na Club Africain.

Timu kutoka Burundi, Olympic Star ya mkoani Ruyigi iliridhika kupata sare ya bila bila (0-0) dhidi ya Hilal Obied  ya Sudan ya Kusini.


Hii ndio matokeo yote pande zote :

Petro Atletico (AGO) – SuperSport United (AFS) : 0-0

DC Motema Pembe (RDC) – Deportivo Niefang (GEQ) : 1-1 

CS La Mancha (CGO) – Ahly Shandy (SOU) : 3-0

CR Belouizdad (ALG) – Nkana (ZAM) : 3-0

RS Berkane (MAR) – Club Africain (TUN) : 3-1

Raja Casablanca (MAR) – Nouadhibou (MAU) : 1-1

Costa Do Sol (MOZ) – Cape Town City (AFS) : 0-1

Energie (BEN) – Enyimba (NGA) : 0-2

Djoliba (MLI) – APR FC (RWA) : 1-0

AS Port-Louis (ILM) – FOSA Junior (MAD) : 0-2

AS Maniema (RDC) – USM Alger (ALG) : 2-2

Olympic (BUR) – Hilal Obied (SOU) : 0-0

Al Ittihad (LBY) – Akwa United (NGA) : 1-0

CARA (CGO) – US Ben Guerdane (TUN) : 2-0

Simba (TAN) – Al-Masry (EGY) : 2-2

Wolaitta Dicha (ETH) – Zamalek (EGY) : 2-1

Hakuna maoni