MISHE-BOY

Newz | Huu ndio ujio mpya wa warembo Pamy Queen na Beblyna

Wanamuziki wa kike kutoka Burundi, Pamy Queen pamoja na Beblyna watangaza habari ya ujio mpya ya kundi yao tofauti na jinsi tunavyo watambua kwenye muziki na kuipa jina la THE QUEENS.

Mrembo Bebyna alitangaza kwenye ukurasa wake wa facebook na kusema wameamua kuunda kundi moja na Pamy Queen ili kuweka nguvu kwa pamoja.
Kwa jinsi walivyojipanga hawa warembo na hili kundi lao bila shaka litaiteka Burundi kwa vipaji wanao kwa sasa sioni wa kupangua hapo.

Fikra ya kuunda kundi hiyo na kuweka nguvu pamoja kuna radha flani ya muziki imeongezeka nchini Burundi na katika kundi lao cha msingi wajiweke mbali na majungu na kuingia katika bifu zisizo na maana. Pia ukicheki management yao imekaa vizuri sana wamefanya ivutie sana ninaimani kazi zao zitakuwa vizuri.

Hakuna maoni