Sport | Soma Ujumbe wa Ronaldo Kisu kwa Mohamed Salah
FIFA itatangaza mshindi wa tuzo la mchezaji bora wa FIFA (FIFA Best Player) Jumatatu hii. Wachezaji watatu ndio wanashindana ikiwa ni pamoja na Cristiano Ronaldo, Luka Modric na Mohamed Salah.
Nyota wa timu ya taifa ya Brazili Ronaldo alimsifu nyota wa Misri na kusema, '' Namkubali sana, nilisikia kwamba anafuata mbinu zangu na ninafurahia sana.'' Ana sifa nzuri. Anakipaji kama cha Messi wakati wote wanatumia mguu wa kushoto na pia ni mchezaji ana kimbia haraka, hauwezi kumunyanganya mpira kiuraisina ana njaa ya mabao.'' kwa mjibu wa gazeti la El Partidao.
Mohamed Salah atafurahia hata kama hana nafasi kubwa ya kushinda tuo ya Best Player dhidi ya Ronaldo na Modric

Post a Comment