MISHE-BOY

Sport | Hussein Shabani kutimiza moja ya ndoto yake



Staa wa Amagaju FC ya Rwanda pia wa timu ya taifa Intamba Murugamba,Hussein Shabani maarufu kama Shebe Tshabalala,  aliwahi kutamka na kusema kwamba ana ndoto ya sambamba katika klabu moja na Pierrot Kwizera pamoja Nahimana Shasir  wa Rayon Sport ya Rwanda pia aliongeza na kusema kwamba wachezaji hawo wawili anawapenda sana namna wanavyosikilizana uwanjani na upasiaji wao wa pasi za mwisho.
Licha ya kutamka maneno ayo, alifanya vizuri kwenye michuano ya CECAFA2017 nchini kenya akiwa katika timu ya taifa Burundi, na kuonekana kinara wa timu.

Baada ya michuano CECAFA2017, mshambuliaji huyu amepata fursa ya kusajiliwa na Rayon Sport kwa milioni tano kutoka Amagaju FC, hii itakua ni moja ya kukamilisha ile ndoto yake ya kucheza na wachezaji wenzake kutoka katika timu ya taifa intamba Murugamba.

Hakuna maoni