Sport | Amagaju FC sasa yaanza kumnyatia beki wa kulia wa Vital'o FC
Klabu ya Rwanda Amagaju FC imeanza mazungumzo na beki wa kulia ambae anauwezo wakucheza kama msambauliaji mbia uku akiaminika kama mchezaji wa kasi, mbio na nguvu, Bigirimana Floribert maarufu kama LuaLua.
Licha ya kukosa mda mrefu wakucheza kwenye kikosi cha kwanza ya Vitalo, tayari kikosi cha usajili kimehamia kwa beki wa kulia wa Vitalo, Bigirimana Floribert ambae inaaminika kama atatua wakati wowote katika klabu Amagaju FC ya Rwanda.
Taarifa kutoka ndani ya Amagaju na kwa meneja wa mchezaji ni kwamba tayari uongozi wa timu hiyo umeshakutana na mchezaji katika kumsajili ambapo karibu kila kitu ni kama wamzshakubaliana ila mchezaji aliwaomba amalizie mkataba wake na Vitalo msimu huu.
Aidha baada ya klabu Amagaju kujitokeza na kuonesha niya ya kumsajili beki wa kulia huyu, klabu nyingine Caps United ya Zimbabwe nayo pia imeanza kuonesha niya ya kumsajili mapema sana uku wakidai kwamba Floribert ni beki mzuri anaweza akacheza nafasi nyingi uwanjani.
Post a Comment