MISHE-BOY

SPORT | Hawa ndio wachezaji 25 wa Rayon Sport kwenye Caf Champions League na Azam Rwanda Primary league2018

Klabu ya rayon Sport ya nchini Rwanda ilitangaza orodha ya wacheza wao 25 watakao wakilisha timu hiyo katika mashindano ya  Caf Champions League na Azam Rwanda Primary league2018. Kwenye orodha iyo kunapatikana mchezaji wa timu ya taifa Intamba Murugamba wa klabu ya Amagaju FC, Hussein Shabani maarufu kama Tchabalala.
 Mshambuliaji huyu alishamiri sana kwenye michuano ya CECAFA nchini Kenya na kuipelekea nchi yake Burndi kuwania nafasi ya ya tatu dhidi Uganda bila mafanikio.
1.Bashunga Abouba
2.Irambona Eric Gisa
3.Kwizera Pierrot
4.Manishimwe Djabel
5.Nahimana Shassir
6.Manzi Thierry
7.Mugisha Francois Master 8.Mugabo Gabriel
9.Muhire Kevin
10.Mutsinzi Ange Jimmy
11.Ndayishiye Eric Bakame
12.Niyonzima Olivier Sefu
13.Nova Bayama
14. Chaban Hussein Tchabalala
15.Ismaila Diarra 
16.Chitoshi Chinga 
17.Tidiane Kone
18. Mugisha Gilbert 19.Mukunzi Yannick
20.Nyandwi Saddam
21.Rutanga Eric alba
22.Nshuti Dominic xavio
23.Ndayisenga kassim
24.Usengimana Foustin
25.Bimenyimana Bonfils Caleb


Hakuna maoni