Sport | Hizi ndio nchi pekee zilizochaguliwa na CAF kuandaa Mashindano miaka 4 ijayo
Ijumaa iliyopita kuna mkutano uliyofanyika katika kamati ya utendaji huko Sharm El Sheikh, Misri Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limechagua nchi itakayo andaa mashindano kadhaa yatakayo tokea miaka 4 ijayo.
Soma hapa maelezo kamili :
CAN ya Wanawake 2020: Kongo Brazzaville
CAN Futsal 2020: Morocco
CAN U20 2021: Mauritania
CAN U17 2021: Moroko
CHAN 2022: Algeria
Mashindano ambayo tayari yalitolewa:
CAN 2019 (15 Juni-13 Julai): Kamerun (CAF itatangaza "mwishoni mwa Novemba" ikiwa Kameruni inachukuliwa kama nchi mwenyeji)
CAN 2021: Ivory Coast
CAN 2023: Guinea
CAN ya Wanawake 2018: Ghana (Novemba 17 hadi Desemba 1)
Beach Soccer 2018 CAN: Misri (Desemba 8-14)
CAN U23 2019 : Egypte (Misri)
CAN U20 2019 : Niger
CAN U17 2019 : Tanzania
CHAN 2020 : Ethiopia
Post a Comment