Sport | Lionel Messi ana Fair Play zaidi kuliko Cristiano Ronaldo
Hata kama hayuko kati ya wanaowania Tuzo Bora (FIFA Best Player) inayotolewa na FIFA kwa mchezaji Bora wa mwaka, Lionel Messi atajielekeza kuhudhuria sherehe ambayo itafanyika Jumatatu ijayo huo London.
Vyombo vya habari vya kikatalani vilichukua fursa ya kumdiss Cristiano Ronaldo ambaye alikataa kwenda kwenye sherehe ya UEFA mnamo Agosti 30 ili kumuona Luka Modric akipewa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Msimu.
Messi aliondolewa kwenye orodha ya Mchezaji wa Mwaka wa FIFA kwa mara ya kwanza katika miaka kumi na moja lakini kati ya Luka Modric, Mohamed Salah na Cristiano Ronaldo umoja ataibuka mshindi siku ya Jumatatu ijao.
Kwa mjibu wa gazeti la AS., Messi atakuwa na mke wake Antonela Roccuzzo kwenye Carpet Nyekundu (Tapis Rouge).
Ni wakumbushe kwamba Messi yuko kwenye orodha ya wacchezaji 55 waliochaguliwa na FIFPRO kwa kuteuwa kumi na moja ya mwaka.
Post a Comment