Timu ya taifa ya Burundi ni timu ngumu kati ya mengine
ni hapo tu siku chache kabla ya timu ya taifa kujielekeza Sauza Africa kwa michuano ya Chan 2014,
ripota wa worldnewz amejielekeza kwenye mazowezi ya timu ya vijana ambao wako wanajiandaa kuelekeya Sauza Afrika na niwachezaji wanao chezea ligi ya nyumbani ndio wanao kibali ya kucheza Chan
listi ya wachezaji 23 tayari imekwisha fahamika na ilikua imepangwa waondoke tarehe 6 january mwaka huu ila wanategemea kuondoka leo ao kesho ili wajiandaye vizuri mchezo wao wakwanza.
tulipo fika kwenye mazowezi kweli watu wamekuwa wengi sana na kila mumoja aliipongeza sana timu ya taifa kwamba wanaamini watafanya vizuri sana.
msanii maharufu sana hapa Burundi na easter Africa pia anajulikana kwa jina la Mkombozi amekuepo kwenye mazowezi ya Timu ya taifa ya Burundi na tulipo muuliza amekuwa na majibu ya fwatayo:
Mkombozi: kwa kweli nawashangaa wanao sema kwamba Burundi ni timu ndogo kwa mutazamo wangu na wengine walio shuudia cecafa nchini Kenya wameona gisi gani vijana wametambaza mpira mzuri ila na shangaha sana kipaji cha mchezaji kama Shasir ambae tumecheza naye na pia ana umri mdogo ila anauweza mkubwa, kweli vijana wetu wako na bidii kama nilivyo fanya mimi kutoka chini na kupanda juu na ninaimani watapita kwenye round ya 1 na. timu zote zinazo salia sio ngumu ila ni majina tu.
na mchezaji kitegemeo sana hapa nchini katika timu ya taifa ya Burundi, Saidi Ntibazonkiza naye amewapongeza na akawahidi zawadi ambayo akuiweka adharani
Saidi Ntibazonkiza: vijana wetu wanaweza na ninaimani sana nao sana nimewahidi wakifanikiwa kupita round ya 1 tu ninao zawadi yao nami nitakuwepo uko kuwa karibu yao ili ni shuhudiye mchezo yao yote, najuwa kwamba kila mrundi anajua kwamba vijana wetu wanaenda kuitangaza nchi nzima yetu ya Burundi basi nikuwaombea duwa wafanye vizuri ili jina ya Burundi isikike kisoka na wachezaji wetu watapata soko inje na kuwa mahiri sana.

Post a Comment